Tuesday, March 22, 2011

Wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye Uwanja wa Kaunda Dar es Salaam jana kwaajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, dhidi yao na Azam unaotarajia kuchezwa Machi 30 mwaka huu jijini.
Ruka juu kabisa
Pushi
Inua mguu
Ruka juu ...
Duh..

Ruka juu
Chnganya
Changanya mbaliga..
Juu..chini
Tegete hoi..
Hapa tukimaliza ni kuoga na kulaa tu...Tegete.
Hii kali..
DuhTimbe you are killing us..

0 comments:

Post a Comment