
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hadji Mponda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati akipokea vifaa vya Maabara vilivyotolewa na Taasisi ya Kijerumani ya MERCK, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Karl-Ludwing Kley.
0 comments:
Post a Comment