Wednesday, March 28, 2012

Hii ni barabara kuu ya Mjini Kigoma itokayo Ujiji mpaka Kigoma Mjini na jengo unaloliona katikati ni Stesheni na nyuma ya jengo hilo kuna mlima ambapo chini yake kuna maji ya Ziwa Tanganyika
Hii barabara inaelekea Ujiji
Wakina Mama wa Kigoma hupenda sana kujishughulisha na uuzaji wa Samaki maarufu kwa jina la Migebuka kama unavyowaona.
Wakina Mama wakiuza Samaki katika barabara ua Ujiji Kigoma Mjini
Hii ni barabara inyoelekea Mwandiga,Kasulu na kwingineko,kwa mbali kabisa unaonekana Mti wa muembe ambao umekatwa zamani ilikuwa Standi ya maroli ya kuelekea Kasulu,Manyovu,Kabanga na Kibondo na semu zingine na kwa sasa kunamabadiliko makubwa tangu nilipoondoka Mkoa huo Mwaka 1997 nilipohitimu masomoya Sekondari.
Hawa ni badhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Intergrated Communications wakishangaa Baadhi ya maeneo ya Mwanga Kigoma
Hiki ndio Kituo cha malori cha zamani cha Mwembe Togwa-Mwanga
Hapa ni soko la Nguo Mwanga Kigoma

0 comments:

Post a Comment