Saturday, October 13, 2012 Jamaa huyu huishi na kujipatia fedha kwa kujifananisha na Mchekeshaji mahiri, Mr Been, ambapo watu wengi hujitokeza kupiga naye picha za kumbukumbu na kumapati pesa huku akiigiza sehemu ya vituko vya Mr Been, akiwa katika Viwanja vya London Eye.
Huyu naye, watu wengi humshangaa kutokana na slow motion zake anazokuwa akizionyesha pindi anapoona watu wakimshangaa, na kuganda kwa dakika kadhaa kama hivi utadhani ameketi katika kiti. ZAIDI TEMBELEA http://sufianimafoto.blogspot.com/

0 comments:

Post a Comment