Tuesday, October 9, 2012Mtayarishaji wa Vipindi ambae pia ni Mtangazaji wa Zenji F.M Mustapha Mussa akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  kuhusiana na masuala mbali mbali ya Maendeleo, Kijamii na Kisiasa Nchini, ambapo pamoja na mambo mengine alisisitiza kuwa uhuru wa kuabudu utumike vizuri usivuruge utulivu uliopo.

0 comments:

Post a Comment