Monday, October 8, 2012


  Mtaalam wa tiba ya magonjwa ya moyo nchini, Dk. Ferdinand Masau, akiwaonyesha sehemu ya jengo jipya la hospitali yake, wawakilishi wa mashirika ya kimataifa kutoka Marekani, walipotembelea kuona ujenzi wa hospitali hiyo itakayojulikana kama Dk. Ferdinand Masau Hearth Institute Limited (MHI), iliyopo Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. (Picha na Joseph Senga)
 Mtaalam wa tiba ya magonjwa ya moyo nchini, Dk. Ferdinand Masau, akiwaonyesha sehemu ya vifaa vya kisasa vya matibabu ya moyo.
 Eneo la ujenzi wa hospitali ya kisasa ya moyo huko Mbweni nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment