Monday, October 8, 2012

 Msululu wa mabasi yaliyokabidhiwa UDA na Kampuni ya Simon Group Ltd.
 Viongozi wa Kampuni ya Simon Group na wengine Wakielekea kuzindua mabasi15 waliyowekeza UDA.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam UDA wakisakata muziki wakati wa kukabidhiwa mabasi 15 kutoka Kampuni ya Simon Group Ltd.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group,Robert Kisena (wa pili kulia) Wawekezaji  wa  Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA akipokea  mfano wa funguo kutoka kwa Meneja wa Biashara wa TATA Afrika Holding Tanzania Ltd,Srinivas Nemalapuri (wa pili kushoto) kulia ni  Mkurugenzi wa  Simon Group, Leonard Rubuye na kushoto Kaimu Meneja Biashara,Sarvan Keshri. ikiwa ishara makabidhiano ya mabasi 15 katika awamu ya kwanza, hafla hiyo  ilifanyika  kwenye Ofisi za UDA  Dar es Salaam.
  Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group,Robert Kisena (wa nne kushoto) akiwaongoza viongozi wengine ndani ya Basi la UDA.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group,Robert Kisena (wa tatu kulia), familia,Mkurugenzi wa Simon Group Leonard Rubeye (wa pili kulia) na Meneja Biashara TATA,Srinivas Nemalapuri (kulia). 
Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group,Robert Kisena akilipia tiketi ya kuingia katika UDA baada ya kuzindua rasm Jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment