Wednesday, October 24, 2012

Ofisa Masoko wa kampuni ya Tigo Jacquline Nnunduma akizungumza na waandishi wa habari  juu ya uzinduzi wa huduma mpya za 'Pre-Paid International Roaming' leo
Meneja wa bidhaa za simu za kimataifa Mwajuma Mwenda akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za 'Pre-Paid International Roaming'  iliyofanyika Dar es salaam leo wengine kulia ni Ofisa Masoko wa kampuni ya Tigo Jacquline Nnunduma na Ofisa Uhudiano msaidizi wa Kampuni hiyo Tuli Mwaikenda

0 comments:

Post a Comment