Tuesday, October 9, 2012


MME NA MKE UFANANA KWA KUISHI PAMOJA ZAIDI YA MIAKA 25 UTAFITI!

Lakini kitu gani kinasababisha hali hii ya mtu na mkewe kufanana baada ya kukaa pamoja kwa miaka 25 au zaidi?
Wataalam wanasema , ikiwa kuna upendo kati yenu, hii itachangia?
kwa vile kwa miaka 25 mume na mke hucheka pamoja , kulia pamoja,wakati wa hupata msiba uhuzunika pamoja , wakati wa matatizo na mihangaiko wanakabiliana nayo pamoja michoro hivi vinasaidia kugeuza shepu na sura au uso wa mtu hivyo mume na mkewe huishia kufanana.
vyakula pia inasaidia kuwafanya wafanane. kwa vile wamkaa pamoja kwa miaka , mume na mkewe hula vyakula aina moja na kukaa mazingia aina moja hii pia inasaidi kuwafanya wafanane.
Ni utafiti uliofanywa na Dr. Zajonc(ZI-onz) akishirikiana na Pamela Adelmann, Sheila Murphy na Paula Niedenthal na kucahpiswha katika jarida la kisayansi la , Motivation and Emotion.
Hebu tazama picha ya Hayati baba wa Taifa wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere na Mama Maria? Unaonaje? Kwa msaada wa Bbc.
Hayati baba wa taifa wa Tanzania Mwalimu Julius Nyere
Mama Maria Nyere.

0 comments:

Post a Comment