Wednesday, October 24, 2012


 Wachezaji wa timu ya soka ya vijana, Serengeti Boys wakiwa mazoezini katika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa raundi ya tatu dhidi ya mshindi kati ya Congo/Zimbabwe kuwania kufuzu fainali za vijana zitakazofanyika nchini Morocco, Machi mwakani. 
Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana, Serengeti Boys kikiwa katika picha ya pamoja

0 comments:

Post a Comment