Monday, October 8, 2012Veranda Raphael Meneja msaidizi masoko wa Zuku, akijadiliana jambo na Fadhili Mwasyeba  Meneja Wananchi Satellite Tanzania, mara baada ya kuzungumza na wandishi wa habari kuhusu mtandao wa mawakala wa Zuku wakati wa uzinduzi wa programu ya kuzawadia wateja ijulikanayo kama Zuku Tunakudhamini - Pata TV Bure. Programu hii itawazawadia wateja ambao wataunganisha wateja wapya kwa mtandao wa Zuku..Sambamba ni Irene Muratha Mkuu wa Masoko Satellite Wananchi

Fadhili Mwasyeba  Meneja Wananchi Satellite Tanzania (katikati) akielezea wandishi wa habari kuhusu mtandao wa mawakala wa Zuku wakati wa uzinduzi wa programu ya kuzawadia wateja ijulikanayo kama “Zuku Tunakudhamini - Pata TV Bure,” Programu hii itawazawadia wateja ambao wataunganisha wateja wapya kwa mtandao wa Zuku.

0 comments:

Post a Comment