Monday, January 28, 2013

Msanii wa Luninga,Elizaberh Michael ameachiwa huru kwa dhamana hivi punde jijini Dar es Salaam.Msanii Lulu alikuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumua msanii mwenzake Steven Kanumba mnamo mwaka jana  bila kukusudia.

0 comments:

Post a Comment