Wednesday, January 30, 2013

Mtoto Shangwe akiwapungia mkono wageni waalikwa(hawapo pichani) wakati wa sherehe yake ya kutimiza miaka miwili tanngu azaliwe iliyoandaliwa na Wazazi wake na kufanyika nyumbani kwao Kinondoni jijini Dar es Salaam jana usiku
Shangwe akijiandaa kukata keki yake ya Birthday,nyuma yake ni Kaka yake kipenzi.
Shangwe akilishwa keki ya Birthday na Kaka yake
Shangwe akimlisha Keki Mama yake mzazi wakati wa Sherehe hiyo
Shangwe akimlisha Baba yake mzazi Keki ya kuzaliwa kwake wakati wa sherehe hiyo iliyoandaliwa na Wazazi wake Kinondoni Stereo jijini Dar es Salaam jana.
 

0 comments:

Post a Comment