Monday, January 28, 2013

Mjasiliamali wa kilimo cha mbogamboga aliyewezeshwa na program ya Safari Lager  mwaka jana,
 Innocent Mbelwa akiwaonyesha wanahabari moja ya mazao yake anayotarajia kuvuna kwa awamu ya tatu alipotembelewa na walipomtembelea shambani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaaam mwishoni mwa wiki.
Mjasiliamali,Innocent Mbelwa akiweka sawa mipira ya kumwagilia shamba lake la Matikiti Maji. 
Mjasiliamali wa kilimo cha Mbogamboga aliyewezeshwa na program ya Safari Lager Wezeshwa mwaka jana, Innocent Mbelwa(kulia) akipalilia shamba la Matikiti Maji kwa kushilikana na wafanyakazi wake alipotembelewa na waandishi wa habari Kigamboni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wanahabari wakizungumza na mjasiliamali walipomtembelea shambani kwake Kigamboni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mjasiliamali wa Keki aliyewezeshwa mwaka jana, Elizabeth Chami akiandaa Keki kwa kutumia kifaa ambacho aliwezeshwa na Program ya Safari Lager alipotembelewa na waandishi wa habari ofisini kwake Tabata jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mjasiliamali wa Keki aliyewezeshwa na program ya Safari Lager mwaka jana, Elizabeth Chami akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) walipomtembelea kuona kazi anazozifanyana ofisini kwake Tabata jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Eliza akifanya maandalizi ya keki
Mjasiliamali wa kutengeneza Shampuu aliyewezeshwa mwaka jana program ya Safari Lager, Valerian Luzangi akipanga bidhaa zake tayari kwenda kuuza  alipotembelewa na waandishi wa habari ofisini kwake Mikocheni  jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mjasiliamali wa kutengeneza Shampuu aliyewezeshwa na program ya Safari Lager mwaka jana, Valerian Luzangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) walipomtembelea kuona kazi anazozifanyana ofisini kwake Mikocheni  jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment