Wednesday, January 30, 2013

Dereva wa Bodaboda akiwa amepandisha watoto wawili na Mzazi wao bila tahadhali ya Kofia,ambapo yeye dereva peke yake kajijari kwa kuvaa Kkofia.
Askari Polisi akiwa amemkamata mmoja wa madereva Bodaboda akiwa hajavaa Kofia
Askari Polisi wakiwapeleka watuhumiwa sehemu husikamu

0 comments:

Post a Comment