Friday, February 22, 2013


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na Dkt Idris Jala wa kitengo cha usimamizi na utekelezaji kiitwacho PEMANDU (Performance Management and Delivery Unit) cha Malaysia na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Februari 21, 2013. Katikati ni Dkt Philip Mpango, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango.

0 comments:

Post a Comment