Thursday, February 28, 2013 Ofisa Huduma kwa Wateja wa Bohari ya Dawa (MSD),Florida Sianga (kulia)) akiwaelekeza Monica Gofrey (kushoto) na Geofrey Kandi kifaa tiba aina ya sterilizer inayotumia gesi katika maonesho ya Shirikisho la Wadau wa Huduma za Afya Kusini Mwa Afrika, leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
                                              Wageni hao wakiendelea kupata maelezo
 Kitanda cha wagonjwa ambacho ni baadhi ya vifaa tiba vinavouzwa na MSD
                                              Kifaa Tiba aina ya kitasishaji 'Starilizer' inayotumia gesi
                                                                 Kitanda cha kujifungulia
 Kabati la kusambazia dawa wodini 'Dispensing Trolley'
                                           Banda la MSD linavyoonekana kwenye maonesho hayo

0 comments:

Post a Comment