Friday, February 1, 2013

 
Mkurugenzi Mtendaji, wa wateja binansi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati) akiwa pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo wakielekea kwenye warsha iliyofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mtendaji, wa wateja binansi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati) akisisitiza jambo katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam alipoongea nao kuhusu upatikanaji wa huduma za kibenki bila kufika matawini nchini Tanzania Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo nchini, Enoch Osei-Safo na Mkuu wa Wateja wa binafsi na Wajasiriamali wa benki hiyo, Joyce Malei.

Mshauri wa maswala ya mahusiano wa Ecobank Daisy Mumbi akiwatambusha wakurugenzi kwa waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari. 

0 comments:

Post a Comment