Sunday, February 10, 2013


Wacheza shoo wa kike wa Band aya Extra Bongo wakiwa kaatika pozi.
Na Mwandishi Wetu.
BENDI ya Muziki wa Dansi Leo iko Magomeni Garden Breeze katika kukupa Burudani wewe mkazi wa jiji la Dar es Salaam na hata wewe uliye jijini kwa matembezi ama kazi za mda mfupi.
Wakizungumza Kiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela amesema usikose siku ya leo kwani safu ya Wanenguaji wamejipanga kukuonyesha kitu ambacho hujawahi kukiona wewe mpenzi na shabiki wa Bendi ya Extra Bongo, hivyo hakikisha hukosi kushuhudia shoo ya leo.

0 comments:

Post a Comment