Thursday, February 7, 2013

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams,(kushoto) akikata utepe kuashilia uzinduzi wa  kuitangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika,Hamp Adams,(kulia) akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati hafla ya kutangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.Kushoto ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi.
Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi (kushoto) akimkabidhi zawadi Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams wakati hafla ya kutangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams,(kulia) akishukuru kupewa zawadi  wakati hafla ya kutangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.Kushoto ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams,(kulia) na Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi wakiteta jambo mara baada ya kuitangaza Kampuni ya Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania .
Wakiteta jambo

0 comments:

Post a Comment