Tuesday, February 5, 2013

Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, juzi alisherehekea siku yake muhim, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum.

Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa.


0 comments:

Post a Comment