Monday, February 25, 2013

Washiriki wa Miss Utalii tanzania wakiwa katika moja ya Makaburi ya zamani Kaole Bagamoyo.

Mshiriki wa Miss Utalii Tanzania Pamoja na washiriki wengine wakikata utepe kwa ajili ya uzinduzi wa safari ya Kitalii Bagamoyo.

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya Fukwe za Bahari Bagamoyo.

Washiriki wa Miss utalii Tanzania wakiwa katika jengo la Ngome kongwe Bagamoyo

0 comments:

Post a Comment