Sunday, February 24, 2013

Wachezaji  wa timu ya Mtibwa wakishangilia goli la kwanza na ushindi dhidi ya Simba wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa Uwanja wa Taaifa Dar es Salaam

Wachezaji wa timu ya Mtibwa wakirejea Uwanjani mara baada ya kushangilia bao la kwanzaa na la Ushindi dhidi ya Mtibwa ya Morogoro wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Mshambuliaji wa timu ya Mtibwa,Issa  Rashid akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Umati wa mashabiki wa timu ya Simba wakishuhudia mechi

Kikosi cha timu ya Simba

Kikosi cha timu ya Mtibwa

0 comments:

Post a Comment