Tuesday, February 19, 2013 Huu ni muenekano mpya wa mwimbaji wa wimbo wa Leo, akishirikiana na Mr Blue, Dayna Nyange, akiwa na mwanadada matata, Jokate Mwigelo. Hapo vipi?
 Safi saaaaana. Dayna pia ameimba nyimbo mbalimbali, ukiwamo ule wa Nivute Kwako.
 Mkao huu balaa tupu. Hapa kama anamtega mtu vile, wakati anafotolewa...
0 comments:

Post a Comment