Tuesday, February 5, 2013Mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta, akiambaa na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Shaaban Nditi, akiambaa na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Frank Domayo, akiteleza na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Salum Abubakar, akiondoka na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

Domayo akinyoosha viungo

Kevin Yondan akifurahia jambo wakati wa mazoezi

0 comments:

Post a Comment