Monday, February 25, 2013Mwimbaji Mpya wa bendi ya twanga pepeta Ramadhani Pentagoni akiimba sambamba na mpiga gita la solo Miraji Shakashia wakati wa onesho lao lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita picha na www.burudan.blogspot.com

Mpiga gita la olo wa bendi ya Msondo ngoma Said Mabela akiwa na mwimbaji wa bendi hiyo Eddo Sanga wakati walipokuwa wakitoa burudan kjatika viwanja vya sigara mwishoni mwa wiki iliyopita picha na www.burudan.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment