Saturday, February 2, 2013

Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangiliabao la kwanza na la kusawazisha dhidi ya timu ya Mtibwa Suger wakati wa mechi Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Timu zote zimetoka sare ya 1-1.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Said Bahanuzi akimtoka Beki wa Mtibwa Suger

0 comments:

Post a Comment