Saturday, February 23, 2013


Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia bao la kwanza na la ushindi lililofungwa na Haaruna Niyonzima kipindi chwa kwanza wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Wakimpongeza Haruna Niyonzima kwa kuwapatia bao la Ushindi

Kikosi cha timu ya Yanga

Haruna Niyonzima akijaribu kumtoka beki wa Azam Khamis Mcha

Mashabiki na mambo yao kama unavyoona

Baadhi ya Umati wa mashabiki wa Yanga wakishuhudia pambano la Yanga na Azam

Wachezaji wa Azam wakimlalamikia Mwamuzi mara baada ya mpira kumalizika

Washabiki wakifurahia ushindi wa Yanga

Waamuzi wakisindikizwa kutoka Uwanjani na jeshi la Polisi mara baada ya mchezo kumalizikia

0 comments:

Post a Comment