Saturday, March 2, 2013
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (wasita kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa muunganiko wa makampuni ya nchini Korea mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu mfumo wa Ki-Electronic wa shughuli na huduma za uhamiaji katika ofisi za Uhamiaji Makao Makuu, jijini Dar es Salaam. Miongoni ya makampuni hayo yaliotoa mada ni Consurtium na African Future Forum.

Sehemu ya Wajumbe wa Muunganiko wa makampuni ya nchini Korea wakifuatilia kwa makini mada kuhusu mfumo wa Ki-Electronic na shughuli na huduma za Uhamiaji. Kushoto ni Ofisa uhamiaji.

0 comments:

Post a Comment