Saturday, March 9, 2013Wawakilishi mbalimbali wa makampuni ya simu wakitiliana saini ya makubaliano ya kuendesha Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote kulia ni Mkuu wa kitengo cha uhimalishaji mitandao wa Voda Com Eng,Nguvu Kamando anaefuata ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Bw, Kamugisha Kazaura na wengine wanaoshudia makubaliano hayo nyuma kushoto ni Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Tekinolojia Profesa Makame Mbawara picha na www.burudan.blogspot.comWAWAKILISHI WA MITANDAO

WAWAKILISHI WA MITANDAO YA TTCL,AIRTEL,VODA COM NA TIGO WAKIPIGA MAKOFI BAADA YA MGENI RASMI KUHUTUBIHA

Mkuu wa kitengo cha uhimalishaji mitandao wa Voda Com Eng,Nguvu Kamando akiteta jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Bw, Kamugisha Kazaura
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Tigo,Diego Gutierrez katikati  akiteta jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Bw, Kamugisha Kazaura kushoto ni Beatrice Singano kutoka Aitel picha na www.burudan.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment