Saturday, March 2, 2013 Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA Tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu teknolojia ya mawasiliano na Utawala Bora vinavyoweza kuchangia maendeleo ya uchumi na kufanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na ISACA Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Norway Registers Development. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Baadhi ya washiruiki wa Semina hiyo kutoka katika taasisi za Fedha
 Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface Kanemba  akitoa mada katika semina hiyo.
 Washiriki wa semina.

0 comments:

Post a Comment