Thursday, March 7, 2013 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Tasaf Unguja Shaaban Ali Abdulmalik,wakati alipofungua Soko la Samaki la Mazizini Pwani,ikiwa ni mradi wa Tasaf kupitia Macemp,alkiwa katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kulifungua Soko la Samaki Mazizini pwani,ikiwa ni mradi wa Tasaf alipokua katika ziara ya Wilaya ya Magharibi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Rans CO LTD, inayoshuhukia ujenzi Nassor Salim Said,alipotembelea Kilimo cha Mboga mboga kinacholimwa na kampuni hiyo huko Kombeni Wilaya ya Magharibi alipokuwa katikaziara ya Mkoa wa Magharibi.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

0 comments:

Post a Comment