Saturday, May 17, 2014
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Katibu Mkuu Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga Bw.Raymond Banjamin,(kulia) alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Katibu Mkuu Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga Bw.Raymond Banjamin,alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana  na  Katibu Mkuu Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga Bw.Raymond Banjamin,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}

0 comments:

Post a Comment