Thursday, May 22, 2014Bondia Said Mbelwa akipiga bag zito kwa ngumi nzito wakati akijiandaa na mpambano wake na Karama Nyilawila wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia wa siku nyingi Rashid Matumla kushoto akimnoa bondia Karama Nyilawila wakati wa mazoezi yake ya mwisho kabla ya kumkabili Said Mbelwa may 24 katika ukumbi frends corner manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Said Mbelwa akipiga bag zito kwa ngumi nzito wakati akijiandaa na mpambano wake na Karama Nyilawila wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia wa siku nyingi Rashid Matumla kulia akimnoa bondia Karama Nyilawila wakati wa mazoezi yake ya mwisho kabla ya kumkabili Said Mbelwa may 24 katika ukumbi frends corner manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment