Saturday, May 24, 2014MPIGA PICHA MKONGWE WA PICHA ZA TELEVISHENI,MAXIMILIAN NGUBE (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI BAADA YA KUSUMBULIWA KWA MARADHI KWA MUDA MREFU.

MAREHEMU MAXIMILIAN AMBAYE ALIFAHAMIKA SANA KWA JINA LA PAPAA MAX,ALIKUWA NI MPIGA PICHA HODARI WA KITUO CHA TELEVISHENI CHA MLIMANI TV.

GLOBU YA JAMII IMEPOKEA TAARIFA ZA MSIBA HUU KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA NA TUNAMUOMBEA KWA MWENYEZIMUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAXIMILIAN NGUBE MAHALI PEMA PEPONI.

-AMIN.

0 comments:

Post a Comment