Wednesday, May 28, 2014Rachel Haule ‘Recho' enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ amefariki dunia asubuhi hii akiwa katika Chumba cha wagonjwa wanaohitaji Uangalizi Maalumu ICU.  Taarifa za awali zinasema kuwa Marehemu alijifungua jana Kwa Operesheni lakini Bahati Mbaya Mtoto akafariki na baada ya operesheni hiyo ndipo na yeye hali ikawa mbaya na kupelekwa ICU hadi mauti yalipomfika leo asubuhi.

 MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

0 comments:

Post a Comment