Thursday, May 29, 2014

 
Mwongoza maada wa usiku wa NdovuSpotlight, Gloria Mangi(kulia) akiongoza maada wakati wa mdahalo kwa wadau mbalimbali uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam.Kushoto ni mmiliki wa website, Laura Lyabandi na Mkurugenzi wa Kampuni ya Vinjari, Andrew Mbona. 
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Fimbo Butallah(kutoka kulia),Meneja wa Bia ya Ndovu, Pamela Kikuli na Meneja wa Bia ya Castle Lite, Geofrey Makau wakifuatilia maada wakati wa mdahalo wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam.
 Meneja wa kinywaji cha Redd’s, Victoria Kimaro(kutoa kushoto), Meneja wa Bia ya Castle Lite, Geofrey Makau, Meneja wa Bia ya Ndovu, Pamela Kikuli na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Fimbo Butallah wakifuatilia maada wakati wa mdahalo wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam.
 
Baadhi ya Wadau wakifuatilia maada wakati wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam .
 Wakifuatilia
 Mchekeshaki, Evance Bukuku (kulia) akichangia maada wakati wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam
 Wajfuatilia
 Wakifuatilia
 Maada zikiendelea
 Meneja wa Bia ya Castle Lite, Geofrey Makau(kushoto) akiwa na wadau wakipata vitafunwa mara baada ya mdahalo wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam
Mwongoza maada wa usiku wa NdovuSpotlight, Gloria Mangi(kulia), mmiliki wa website, Laura Lyabandi(kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Vinjari, Andrew Mbona wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mdahalo wa usiku wa NdovuSpotlight uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment