Monday, June 16, 2014

 
 
 
 
 
 
 
 

 


Watu watatu wamejeruhiwa leo alfajiri na kukimbizwa hospitali baada ya Gari lao dogo kupata ajali wakiwahi Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe . Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi na alikuwa akilipita gari lengine na mbele kukawa na Gari lengine nalo linakuja kwa mwendo na ndipo lilipo mshinda , akagonga nguzo za taa barabarani Kisha Kupinduka. Hata hivyo wasafiri hao safari yao iliishia RRM. 

PICHA NA MBEYA YETU

0 comments:

Post a Comment