Saturday, June 14, 2014Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi baada ya kumtwanga bondia Mzambia Mwansa Kabinga kwa t,k,o ya raundi ya tisa mwishoni mwa wiki iliyopita na kufanikiwa kunyakuwa ubingwa wa WPBF Africa upande wa vijana picha kwa niaba ya www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipeperusha vema bendera ya taifa
Bondia wa Zambia, Mwansa Kabingakushoto akioneshana umwamba na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa WPBF Africa mchezo uliochezwa ,Arthur Davis Stadium, Kitwe, Zambia ambapo King Class Mawe alishinda kwa TKO ya raundi ya tisa na kufanikiwa kuibuka na ubingwa huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
KING CLASS MAWE AKINYOOSHWA MKONO JUU
Bondia wa Zambia, Mwansa Kabingakushoto akioneshana umwamba na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa WPBF Africa mchezo uliochezwa ,Arthur Davis Stadium, Kitwe, Zambia ambapo King Class Mawe alishinda kwa TKO ya raundi ya tisa na kufanikiwa kuibuka na ubingwa huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
WAKATI WA KUPIMA UZITO

0 comments:

Post a Comment