Tuesday, June 10, 2014

 Mabingwa wa Bonanza la wafanyakazi wa kampuni ya Electronics ya Samsung timu ya S5 Water Resistant wakishangilia na Kikombe mara baada ya kuibuka mabingwa wa Bonanza hilo lililofanyika Leaders Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

 Mkufunzi akitoa maelekezo wakati wa training juu ya Simu ya S5 kwa wafanyakazi wa Samsung
 Akitoa maelekezo
 Baadhi ya Wafanyakazi wakisikiliza
 Wakifuatilia kwa makini maelekezo

 Semina ikiendelea
 Semina

 Training ikiendelea Wafanyakazi wa Samsung

 Mbio za Magunia
 Kuvuta Kamba Msosi time


 

 Mchezo wa Pool

 Mchezo wa Darts
 Mchezo wa Table tenes
 Pool table
 Vyeti vya Ushiriki
Kucheza muziki pia kulikuwepo
 

0 comments:

Post a Comment