Thursday, June 19, 2014Bondia Abdallah Mbela kushoto akipangua ngumi ya Said Uwezo wakati wa mazoezi ya kujianda kupambana juni 21 Uwzo atapambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa swai pub ulongoni 'B'  gongolamboto
 Bondia Said Uwezo kushoto akifundishwa jinsi ya kutupa makonde na Shujaa Keyakeya wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa kupambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa Swai pub ulongoni 'B' gongolamboto picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Abdallah Mbela kushoto akipiga ngumi kwa Said Uwezo wakati wa mazoezi ya kujianda kupambana juni 21 Uwzo atapambana na Thobias Adaut katika ukumbi wa swai pub ulongoni 'B'  gongolamboto

0 comments:

Post a Comment