Saturday, June 7, 2014


Bondia Stivin Kobelo kushoto akipambana na Amani Abbas wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Kawe Dar es salaam Kobelo alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ezekiek Gordon kulia akipambana na Jumanne Njopeka wakati wa mpambano wao wa kukata na shoka uliofanyika Kawe jijini Dar es salaam jana na kushudiwa na mashabiki lukuki kutoka kawe pamoja na maeneo ya jirani Gordon alishinda kwa point mchezo huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ezekiek Gordon kushoto akipambana na Jumanne Njopeka wakati wa mpambano wao wa kukata na shoka uliofanyika Kawe jijini Dar es salaam jana Gordon alishinda kwa point mchezo huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment