Monday, June 16, 2014

 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akionyesha Kikombe alichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia  yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Slaam .
 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli  na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Nchini(TBL) wakionyesha Kikombe walichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia  yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Slaam
 
Kundi la wasanii wa THT wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo.
 
Mkurugenzi wa Masoko TBL,Kushila  na Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah wakizungumza na wadau
 
Meneja masoko TBL, Fimbo Butallah na Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt wakiteta jambo
 
Wadau wa Bia ya Ndovu Special Malt wakigonganisha glasi wakati wa hafla hiyo.
 Msanii wa nyimbo za kizaji kipya , Halima Mdee akitumbuiza wakati wa hafla ya kujipongoza kwa wadau wa bia ya Ndovu Special Malt mara baada ya bia hiyo kushinda tuzo ya Ubora wa Kimataifakutoka katika Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection iliyofanyika katika Hotel ya Hayati Kilimanjaro Dar es Salaam

Wadau wakiwa katika hafla hiyo.

0 comments:

Post a Comment