Wednesday, June 4, 2014

 
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(wa pili kulia) na mpishi wa bia wa Kampuni ya Bia nchini Tanzania(TBL) Cavin Nkya(wa pili kushoto) wakiwa wameshikilia tuzo zao za ubora wa kimataifa(International Quality Trophy) za Ndovu Special malt na Safari Lager walizoshinda hivi karibuni nchini Ufaransa kutoka kwenye Taasisi ya kimataifa ya Monde Selection.
 
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwa ameshikilia chupa ya bia yake iliyoshinda tuzo ya Ubora wa Kimataifa(International Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection.
 
Meneja wab Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akiwa ameshikilia chupa ya bia yake iliyoshinda tuzo ya Ubora wa Kimataifa(International Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection.
 
Meneja wab Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akiwa ameshikilia tuzo ya ubora wa kimataifa(International Quality Trophy) na cheti mara baada ya kukabidhiwa na Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection.
 
Mpishi wa bia wa Kampuni ya bia nchini Tanzania(TBL), Cavin Nkya akiwa ameshikilia chupa ya bia ya Ndovu Special Malt iliyoshinda tuzo ya Ubora wa Kimataifa(International Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection.
 
Mpishi wa bia wa Kampuni ya bia nchini Tanzania(TBL), Cavin Nkya akiwa ameshikilia tuzo ya ubora wa kimataifa(International Quality Trophy)  mara baada ya kukabidhiwa na Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection.

Meneja wab Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) na  Mpishi wa bia wa Kampuni ya bia nchini Tanzania(TBL), Cavin Nkya wakiwa wameshikilia chupa za Safari Lager iliyoshinda tuzo ya Ubora wa Kimataifa(International Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection.

0 comments:

Post a Comment