Monday, August 11, 2014 Mkurugenzi Mkuu wa Jovet Tanzania Limited Ndugu John Kessy akitafakari jambo wakati wa chakula cha jioni alichowaandalia mawakala wa Bavaria eneo la Afrika ya mashariki.
Ndugu John Kessy mkurugenzi wa kampuni ya JOVET TANZANIA Ambao ndio mawakala wakuu wa kinywaji cha Bavaria katika ukanda wa Afrika Mashariki akimpongeza Innocent Gasangwa, wakala wa Bavaria kutoka nchini Rwanda
  Baadhi ya wadau wa Bavaria wakibadilishana mawazo wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na jovet Tanzania limited wasambazaji wa kinywaji cha Bavaria eneo la Afrika Mashariki
 Ndugu Justus Kyolike meneja masoko mkazi wa Bavaria akiteta na wadau wa Bavaria

0 comments:

Post a Comment