Tuesday, August 12, 2014 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakifanya mazoezi ya viungo katika ukumbi wa mazoezi wa Rio Gym & Spa Extra Jengo la Golden Jubilee, Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika TCC Club, Chang'ombe Agosti 22, mwaka huu.
 Ni mazoezi kwa kwenda mbele.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

0 comments:

Post a Comment