Wednesday, September 24, 2014

 Mkurugenzi wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasosola(katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la Karikoo la kampuni hiyo lililofanyika Dar es Salaam .Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
 Mkurugenzi wa Kampuni Resolution Insurance, Oscar Asir(kulia) akiwaelekeza mandhali ya ofisi ya tawi jipya la ofisi hiyo iliyoko Lumumba Kariakoo Mkurugenzi wa bodi wa kampuni hiyo, Richard Kasosola(katikati) na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha.
 Keki maalum kwa ajili ya Ufunguzi wa tawi jipya la Resolution Insurance la mtaa wa Lumumba  Kariakoo jijini Dar es Salaam. 
 Mkurugenzi wa bodi wa Resolution Insurance, Richard Kasosola(katikati), Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Oscar Asir na Mkurugenzi wa Utoaji Bima ya Afya wa Kampuni hiyo, Leonard Chacha wakikata keki kuashilia uzinduzi wa tawi jipya la kampuni hiyo lilipo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Resolution Insuarance wakiwa katika picha ya pamoja. 

0 comments:

Post a Comment