Wachezaji
wa Yanga Mbuyu Twite (kulia) na Oscar Joshua (kushoto) wakimpongeza
mshambuliaji Genilson Santos (katikati)
mara baada ya kuipatia timu yake ya Yanga bao la kwanza na la ushindi wakati wa
mechi ya kirafiki iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Genilson Santos akishangilia mara baada ya kufunga bao la kwanza na la ushindi.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia
Genilson Santos akishangilia mara baada ya kufunga bao la kwanza na la ushindi.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia
Kocha wea timu ya Yanga, Macio Maximo akisalimia mashabiki wa timu ya Yanga
Kikosi cha timu yua Yanga
Kikosi cha timu ya Thika United Fc
Mshambuliaji
wa timu ya Yanga, Andrey Continho(kushoto) akijaribu kumtoka beki wa timu ya
Thika United ya Kenya, Kizito Tonny wakati wa mechi ya kirafiki iliyochezwa
Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Beki
wa timu ya Thika United, Kizito Tonny akidhibiti mshambuliaji wa Yanga, Andrey
Kotinho wakati wa mechi ya kirafiki iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Simon Msuva(kulia) akijaribu kumtoka beki wa timu ya Thika United ya Kenya, Kizito Tonny wakati wa mechi ya kirafiki iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. |
0 comments:
Post a Comment