Wednesday, October 8, 2014
 Msimamizi Mkuu wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Albet Kingu kushoto akimkabidhi zawadi ya chupa ya Kvant 750ml Ally Yanga wakati wa tamasha lililowakutanisha wakazi wa tabata shule mwishoni mwa wiki tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kutoa burudani mbalimbali kwa wakazi hawo

0 comments:

Post a Comment