Saturday, October 18, 2014


 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akizufumza wakati wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa maafisa rasilimali watu kutoka wakala za serikali iliyofanyika mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani Alhamisi Oktoba 16, 2014

 Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, akizungumza kwenye semina hiyo
 Mmoja wa washiriki wa semina hiyo, akizungumza.

 Katibu Mkuu Ikulu, akitoa hotuba ya ufunguzi wa Semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwa maafisa rasilimali watu huko Bagamoyo mkoani Pwani, Alhamisi Oktoba 16, 2014. Warsha hiyo ililenga kuwapatia elimu waajiri kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo kwa wanachama wake.

Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo, (Kulia), akiongozana na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Gabriel Silayo, wakati wa mapumziko ya chai baada ya kufungua semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa maafisa rtasilimali watu huko Bagamoyo mkoani Pwani, Alhamisi Oktoba 16, 2014

0 comments:

Post a Comment